-
Biblia Yafika Kwenye Kisiwa Kikubwa ChekunduMnara wa Mlinzi—2009 | Desemba 15
-
-
Sasa hali imekuwa bora zaidi. Jinsi gani? Mnamo 2008, Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya katika Kimalagasi ilitolewa. Tafsiri hiyo ni hatua kubwa sana ya maendeleo kwa sababu imeandikwa kwa lugha ya kisasa ambayo inaeleweka kwa urahisi. Hivyo, Neno la Mungu limetia mizizi hata zaidi kwenye Kisiwa Kikubwa Chekundu.—Isa. 40:8.
-
-
Biblia Yafika Kwenye Kisiwa Kikubwa ChekunduMnara wa Mlinzi—2009 | Desemba 15
-
-
[Picha katika ukurasa wa 31]
“Tafsiri ya Ulimwengu Mpya” katika Kimalagasi inaheshimu jina la Mungu, Yehova
-