-
Kusaidia Wengine Wajifunze Matakwa ya MunguMnara wa Mlinzi—1997 | Januari 15
-
-
Kwa hiyo ili kuweza kueneza ujuzi juu ya Mungu upesi zaidi, katika mwaka 1995 “mtumwa mwaminifu na mwenye busara” aliandaa chombo kipya, kile kitabu cha kurasa 192 chenye kichwa Ujuzi Uongozao Kwenye Uhai Udumuo Milele. Chombo hicho chenye thamani hakikazii mafundisho yasiyo ya kweli. Kinatoa kweli za Biblia katika njia chanya. Inatazamiwa kwamba kitawezesha wanafunzi wa Biblia wafanye maendeleo ya kiroho upesi zaidi. Kitabu Ujuzi tayari kimekuwa na matokeo juu ya shamba la ulimwengu kukiwa na uchapaji wa nakala 45,500,000 katika lugha 125 na utafsiri ukiendelea katika lugha nyingine 21.
-
-
Kusaidia Wengine Wajifunze Matakwa ya MunguMnara wa Mlinzi—1997 | Januari 15
-
-
“Ujuzi Uongozao Kwenye Uhai Udumuo Milele” (1995): 45,500,000 katika lugha 125 (cha Kijerumani kimeonyeshwa)
-