-
Kufisha Babuloni MkubwaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Na yeye anasema kwangu mimi: ‘Maji ambayo wewe uliona, ambapo kahaba anaketi, humaanisha vikundi vya watu na umati wa watu na mataifa na ndimi.
-
-
Kufisha Babuloni MkubwaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
16. Ni kwa nini Babuloni Mkubwa hataweza kutegemea maji yake yamuunge mkono wa himaya wakati serikali za kisiasa zinapomgeukia?
16 Kama vile Babuloni wa kale alivyotegemea ulinzi wa maji yake, Babuloni Mkubwa leo anategemea washiriki wake wengi mno “vikundi vya watu na umati wa watu na mataifa na ndimi.” Kwa kufaa malaika huelekeza uangalifu wetu kwenye hao kabla ya kusimulia tukio lenye kugutusha: Serikali za kisiasa za dunia hii zitamgeukia kijeuri Babuloni Mkubwa. “Vikundi vya watu na umati wa watu na mataifa na ndimi” wote hao watafanya nini wakati huo? Tayari watu wa Mungu wanaonya Babuloni Mkubwa kwamba maji ya mto Eufrati yatakauka. (Ufunuo 16:12) Mwishowe maji hayo yatakauka kabisa. Hayo hayataweza kumpa kahaba kizee mwenye kunyarafisha tegemezo lolote lenye kufaa katika saa yake ya uhitaji ulio mkubwa zaidi sana.—Isaya 44:27; Yeremia 50:38; 51:36, 37.
-