Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kuzaliwa Upya—Jinsi Gani?
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Aprili 1
    • Yesu alimaanisha nini alipotaja maji? Angalia matukio yanayotangulia na yanayofuata mazungumzo ya Yesu na Nikodemo. Yanaonyesha kwamba Yohana Mbatizaji na wanafunzi wa Yesu walibatiza kwa maji. (Yohana 1:19, 31; 3:22; 4:1-3) Ubatizo huo ulijulikana sana huko Yerusalemu. Kwa hiyo, Yesu alipotaja maji, Nikodemo alitambua kwamba alikuwa akizungumza kuhusu maji ya ubatizo bali si maji tu kwa ujumla.a

  • Kuzaliwa Upya—Jinsi Gani?
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Aprili 1
    • a Vivyo hivyo, pindi moja mtume Petro alisema hivi kuhusu watu waliotaka kubatizwa: “Je, mtu yeyote anaweza kuyakataza maji?”—Matendo 10:47.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki