-
Samoa2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Kwa mfano, katika miaka ya 1990, Talalelei Leauanae, Sitivi Paleso‘o, Casey Pita, Feata Sua, Andrew Coe, na SioTaua, walihudhuria Shule ya Mazoezi ya Kihuduma nchini Australia, kisha wakarudi Samoa ili kuendeleza kazi ya Ufalme. Leo, Andrew na mke wake, Fotuosamoa, wanatumikia Betheli ya Samoa. Sio na mke wake, Ese, wametumikia katika kazi ya mzunguko kwa miaka kadhaa wakiwa na mwana wao mchanga, El-Nathan. Sio, sasa ni mshiriki wa Halmashauri ya Nchi.
-
-
Samoa2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Halmashauri ya Nchi ya Samoa: Hideyuki Motoi, Fred Wegener, Sio Taua, na Leva Faai‘u
-