-
Samoa2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
MAJUMBA YA UFALME YAHITAJIWA
Katika miaka ya 1990 makutaniko mengi nchini Samoa na Samoa ya Marekani yalikutana katika nyumba za faragha au katika majengo yaliyojengwa kutokana na vifaa duni. “Sehemu hizo za kukutanikia zilidharauliwa na watu katika jamii,” asema Stuart Dougall, aliyetumika katika Halmashauri ya Nchi kati ya mwaka wa 2002 na 2007.
-
-
Samoa2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
1999 Kazi ya ujenzi wa Majumba ya Ufalme yasonga mbele haraka.
-