Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Samoa
    2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Miaka miwili baadaye, kutaniko hilo lilipata pendeleo la kuwa na kusanyiko la wilaya la kwanza katika eneo lao. Kusanyiko hilo lilifanyiwa katika jengo la zamani la hospitali ya Wajerumani karibu na nyumba ya wageni iitwayo White Horse Inn. Waliohudhuria kusanyiko hilo walitoka sehemu za mbali kama vile New Zealand.

  • Samoa
    2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Mwaka wa 1967, walitayarisha na kuigiza drama ya kwanza ya nyakati za Biblia—ya kwanza kabisa nchini Samoa. Drama hiyo, iliyohusu uandalizi wa Mungu wa majiji ya makimbilio katika Israeli la kale, ilikumbukwa kwa muda mrefu na wale waliohudhuria.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki