Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Samoa
    2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Wamishonari walisafiri toka kisiwa kimoja hadi kingine kwa ndege na mashua ndogo. Safari zilikuwa zenye kuchosha; na mara nyingi walichelewa kufika. “Tulilazimika kujifunza kuwa wenye subira na kuwa wacheshi,” asema Elizabeth Illingworth, ambaye kwa miaka mingi aliandamana na mume wake, Peter, katika kazi ya kuzungukia makutaniko kotekote katika Pasifiki ya Kusini.

  • Samoa
    2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Mwaka wa 1962, tulipata mgawo wa kuzunguka. Mzunguko wetu wa kwanza ulitia ndani sehemu kubwa ya Pasifiki ya Kusini, kutia ndani Samoa ya Marekani, Visiwa vya Cook, Fiji, Kiribati, Niue, Samoa, Tonga, Tuvalu, na Vanuatu.

  • Samoa
    2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Mwaka mmoja baadaye, Shirley nami tuliombwa turudi katika kazi ya kuzunguka—miaka 26 baadaye! Tulishangilia kama nini kukutana na ndugu na dada wengi wa zamani tuliokuwa tumefanya kazi pamoja nchini Samoa, Samoa ya Marekani, na Tonga!—3 Yohana 4.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki