-
Samoa2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Kijana mmoja anayeitwa Maatusi Leauanae, alipata fununu kwamba watu wanaopendezwa na dini hiyo mpya walikuwa wakikutana kila juma katika nyumba ya daktari fulani aliyekuwa akiishi katika uwanja wa hospitali, naye akaamua kupeleleza. Lakini alipofika kwenye lango la hospitali hiyo, akalemewa na wasiwasi, akageuka aende zake. Hata hivyo, wakati huohuo John Croxford akafika na kumwalika ajiunge na kikundi hicho jioni hiyo.
-
-
Samoa2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Baada ya miezi mitano tu, tangu Ndugu Croxford alipofika Apia, watu kumi walikuwa wamejiunga naye katika kazi ya kuhubiri. Miezi minne baadaye, idadi hiyo ilikuwa imeongezeka kufikia watu 19.
-
-
Samoa2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Ndugu Croxford aliporudi Uingereza, Pele aliyekuwa amebatizwa karibuni akaanza kusimamia kutaniko.
-