-
Uzuri Mwingi Mno wa Kiti cha Ufalme cha Yehova cha KimbinguUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Na kwa habari ya hawa viumbe hai wanne, kila mmoja wao pekee ana mabawa sita; kuzunguka na chinichini wanajaa macho. Na wao hawana pumziko mchana na usiku wanaposema: ‘Mtakatifu, mtakatifu, mtakatifu ni Yehova Mungu, Mweza Yote, ambaye alikuwako na ambaye yuko na ambaye anakuja.’” (Ufunuo 4:8, NW)
-
-
Uzuri Mwingi Mno wa Kiti cha Ufalme cha Yehova cha KimbinguUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Na wakiwa na jozi tatu za mabawa—nambari tatu ikiwa inatumiwa katika Biblia kutilia mkazo—makerubi hao wanaweza kwenda kwa wepesi wa umeme wakapeleke habari za hukumu za Yehova na kuzitekeleza.
-