-
Mali za Asili za Dunia ZinapunguaAmkeni!—2005 | Januari 8
-
-
Makampuni ya kukata miti huuza mti wa mkangazi kwa dola 30 hivi. Hata hivyo, mti huo ukiisha kupitia kwa madalali, wauzaji, na watengenezaji, thamani yake inaweza kufikia dola 130,000 au zaidi, hata kabla ya kifaa kilichotengenezwa kwa mti huo kuuzwa. Si ajabu kwamba mkangazi huonwa kuwa dhahabu ya kijani.
-
-
Mali za Asili za Dunia ZinapunguaAmkeni!—2005 | Januari 8
-
-
Inashangaza kwamba katika mwaka wa 2000, Marekani ilinunua zaidi ya asilimia 70 ya mikangazi kutoka Brazili.
-