-
Ghuba MaridadiAmkeni!—2008 | Mei
-
-
Kiumbe mmoja anayeishi karibu na chemchemi hizo ni tube worm. Huyo ni mnyoo ambaye hana mdomo wala tumbo. Ana manyoya mekundu naye huishi pamoja na minyoo wengine wa jamii yake. Yeye husimama wima akijishikilia kwenye sakafu ya bahari, na kama uzi anayumba-yumba kati ya maji baridi ya bahari na ya moto yanayotoka kwenye chemchemi hizo. Kila mnyoo hujitegemeza kwa kushirikiana na bakteria zinazoishi ndani yake. Manyoya yake mekundu ndiyo viungo vyake vya kupumulia.
-
-
Ghuba MaridadiAmkeni!—2008 | Mei
-
-
[Picha katika ukurasa wa 25]
Minyoo
-