Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka kwa Wasomaji Wetu
    Amkeni!—2002 | Desemba 8
    • Vijana Huuliza Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 11, na nataka kuwashukuru kwa makala “Vijana Huuliza . . . Nifanye Nini Nikikutana na Mwanafunzi Mwenzangu?” (Februari 22, 2002) Nilijipata katika hali kama ya vijana wanaoelezwa katika makala hiyo. Baada ya kuisoma, nilielewa kwamba sipaswi kuaibikia ujumbe wa haraka na wenye thamani tunaopelekea watu. Asanteni sana kwa habari hiyo.

      D.D.S., Italia

      Nina umri wa miaka 10. Asanteni kwa makala hiyo. Baada ya kuisoma, nilikwenda katika huduma ya shambani siku iliyofuata na sikuwa na wasiwasi kwa sababu ya kutumia ushauri uliokuwa katika gazeti hilo.

      D.D.C., Italia

  • Kutoka kwa Wasomaji Wetu
    Amkeni!—2002 | Desemba 8
    • Makala “Vijana Huuliza . . . Naweza Kuwahubiria Wanashule Wenzangu Vipi?” (Machi 22, 2002) ilikuwa ya pekee kwangu. Nakumbuka nikisitasita kuhubiria wanafunzi wenzangu hasa rafiki mmoja ambaye alistahi imani yangu. Hatukuonana kwa muda mrefu hadi miaka kadhaa baadaye nilipogundua kwamba alikuwa akijifunza Biblia na Mashahidi wa Yehova. Leo sisi sote ni wazee wa makutaniko na marafiki wakubwa. Kama vile makala hiyo ilivyoonyesha, kuongea na wengine juu ya Yehova huleta matokeo mazuri.

      J.R.M., Brazili

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki