Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Vijana—Fanyeni Maendeleo Yenu Yawe Wazi
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Mei 15
    • Kabiliana na Matatizo kwa “Utimamu wa Akili”

      7. Hali zenye kufadhaisha zinaweza kuwa na matokeo gani kwa vijana?

      7 Mkristo mwenye umri wa miaka 17 anayeitwa Carol alisema, “Kuna nyakati ambazo nilichoka sana kihisia, kimwili, na kufadhaika kiakili hivi kwamba nilishindwa kuamka asubuhi.”a Kwa nini alifadhaika sana hivyo? Carol alipokuwa na umri wa miaka 10, familia yao ilivunjika baada ya talaka ya wazazi wake, akaanza kuishi na mama yake, ambaye alikataa kufuata viwango vya Biblia vya maadili. Huenda unakabili hali fulani zenye kufadhaisha kama Carol bila tumaini la kwamba hali itakuwa nzuri.

  • Vijana—Fanyeni Maendeleo Yenu Yawe Wazi
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Mei 15
    • 11 Utimamu wa akili na sala ndiyo mambo yaliyomsaidia Carol. Alisema hivi: “Sijawahi kamwe kukabili jambo gumu zaidi kama kupinga maisha mapotovu ya mama yangu. Lakini sala ilinisaidia sana. Ninajua Yehova yupo pamoja nami, kwa hiyo siogopi tena.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki