Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Tukio Lenye Kufurahisha Katika Nchi za Balkan
    Mnara wa Mlinzi—2002 | Oktoba 15
    • Mapema miaka ya 1940, ni wahubiri 150 tu waliotoa ripoti ya utumishi wa shambani.

      Walinyanyaswa vikali sana kuanzia mwaka wa 1941 hadi 1952. Hatimaye kulikuwa na furaha kubwa sana mnamo Septemba 9, 1953, wakati serikali ya Kikomunisti ya Jenerali Tito ilipowaandikisha kisheria Mashahidi wa Yehova. Mwaka huo, wahubiri wa habari njema walikuwa 914 na waliongezeka kwa haraka. Kufikia mwaka wa 1991, idadi ya wahubiri ilikuwa imeongezeka hadi 7,420, na watu 16,072 walihudhuria Ukumbusho mwaka huo.

  • Tukio Lenye Kufurahisha Katika Nchi za Balkan
    Mnara wa Mlinzi—2002 | Oktoba 15
    • Mashahidi wa Yehova katika nchi za Balkan walipata majaribu makali sana wakati wa vita. Hata hivyo, wana furaha kwa sababu Yehova amewabariki watu wake kwa ongezeko kubwa sana. Tangu mwaka wa 1991, idadi ya wahubiri wa Ufalme katika ile iliyokuwa nchi ya Yugoslavia imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 80. Wahubiri walifikia kilele cha 13,472 katika mwaka wa utumishi wa 2001.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki