-
Jamhuri Ya Kidemokrasia Ya Kongo (Kinshasa)2004 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehovah
-
-
Majumba fulani ya Ufalme yalifungwa au hata kuharibiwa. Mengine yalichukuliwa na chama cha kisiasa. Ndugu walilazimika kukutana katika vikundi vidogo. Walikamatwa usiku wakiwa nyumbani mwao, na mali zao kuporwa.
Katika Jimbo la Équateur, ndugu wengi walipigwa na kutupwa gerezani. Painia mmoja wa pekee alipigwa vibaya sana na kutiwa gerezani kwa miezi mitatu. Lile tangazo la redio ndilo lililosababisha mambo hayo yote.
-
-
Jamhuri Ya Kidemokrasia Ya Kongo (Kinshasa)2004 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehovah
-
-
[Picha katika ukurasa wa 230]
Wakati wa marufuku, ndugu zetu walifungwa gerezani na kupigwa kikatili
-