Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zambia
    2006 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Wamishonari Wengine Wafukuzwa

      Wakati ulipita. Katika 1975, Albert Musonda, ambaye sasa ni mshiriki wa Halmashauri ya Tawi ya Zambia, alikuwa na umri wa miaka 22 naye alikuwa mtumishi wa kujitolea katika Idara ya Hesabu ya Betheli. Siku moja katika 1975, polisi waliwasili ghafula. Musonda anasema: “Waliwapa wamishonari muda usiozidi siku mbili waondoke nchini.”

  • Zambia
    2006 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Dailes, mke wa Albert anasema: “Tuliwasindikiza ndugu zetu hadi kwenye Uwanja wa Ndege wa Southdown. John Jason alienda Kenya, naye Ian Fergusson akaenda Hispania.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki