Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zambia
    2006 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Dailes Musonda, ambaye wakati huo alikuwa mwanafunzi huko Lusaka, anasema: “Kesi ya Feliya ilipowasilishwa mahakamani, tulitarajia sana kupata ushindi. Ndugu kutoka Mufulira walikuja kusikiliza kesi hiyo. Mimi na dada yangu tulialikwa. Namkumbuka Feliya alipokuwa mahakamani akiwa amevalia kofia nyeupe na nguo yenye rangi iliyofifia. Kesi hiyo ilisikizwa kwa siku tatu. Bado wamishonari kadhaa walikuwamo nchini; Ndugu Phillips na Ndugu Fergusson walikuja kusikiliza kesi hiyo. Tulifikiri kuwapo kwao kungesaidia.”

  • Zambia
    2006 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Dailes anasema: “Tulivunjika moyo sana. Hata hivyo, tulimwachia Yehova mambo.” Matatizo yaliongezeka, na Dailes na dada yake wakaacha shule katika 1967.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki