Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Naimarishwa na Udugu Wetu wa Ulimwenguni Pote
    Mnara wa Mlinzi—2002 | Julai 1
    • Katika mwaka wa 1967, niliwekwa rasmi kuwa mtumishi wa wilaya—mhudumu ambaye husafiri kutoka mzunguko hadi mzunguko. Kufikia wakati huo idadi ya Mashahidi katika Zambia iliongezeka hadi kufikia 35,000.

  • Naimarishwa na Udugu Wetu wa Ulimwenguni Pote
    Mnara wa Mlinzi—2002 | Julai 1
    • Mavuno ya Ajabu

      Sasa imetimia miaka 65 tangu nilipoanza huduma yangu ya wakati wote nikiwa mmoja wa Mashahidi wa Yehova. Imekuwa shangwe kama nini miaka hii yote kuona mamia ya makutaniko yakianzishwa na Majumba ya Ufalme mengi yakijengwa katika maeneo ambayo nilitumikia nikiwa mwangalizi asafiriye wakati mmoja! Tulikuwa Mashahidi wapatao 2,800 mwaka wa 1943, na sasa tumeongezeka hadi kuwa watangazaji wa Ufalme zaidi ya 122,000 nchini Zambia. Mwaka jana zaidi ya watu 514,000 walihudhuria Ukumbusho katika nchi hii, ambayo ina idadi ya watu isiyozidi milioni 11.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki