-
Zambia2006 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Wamishonari Kutoka Gileadi Wawasili
Katika 1948, wamishonari wawili, yaani, Harry Arnott na Ian Fergusson, waliwasili Zambia. Waliwahubiria hasa maelfu ya Wazungu waliohamia eneo hilo ili kuchimbua shaba. Walipata matokeo mazuri sana. Mwaka huo idadi ya Mashahidi wa habari njema iliongezeka kwa asilimia 61.
-
-
Zambia2006 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
[Picha katika ukurasa wa 178]
Harry Arnott,
-