Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ‘Midomo ya Kweli Itathibitishwa Milele’
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Machi 15
    • Sulemani anaendelea kuonyesha tofauti ya mambo mbalimbali, na sasa anatoa hoja yenye kuvutia kuhusu bidii na uvivu. Anasema: “Mkono wa mwenye bidii utatawala; bali mvivu atalipishwa kodi.” (Mithali 12:24) Kufanya kazi kwa bidii kunaweza kuleta mafanikio na kumwezesha mtu kujitegemea kifedha, ilhali uvivu unaweza kufanya mtu awe mtumwa. Msomi mmoja anasema kwamba, “baada ya muda mvivu atakuwa mtumwa wa mtu mwenye bidii.”

  • ‘Midomo ya Kweli Itathibitishwa Milele’
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Machi 15
    • Mfalme Sulemani anatumia njia nyingine kuonyesha tofauti kati ya mtu mvivu na mtu mwenye bidii. Anasema: “Mtu mvivu hapiki mawindo yake; bali mwenye bidii anazo mali za thamani.” (Mithali 12:27) “Mtu mvivu” “hapiki” au “kuchoma” mawindo yake. (New International Version) Kwa sababu hiyo hawezi kumaliza anachoanza. Kwa upande mwingine bidii huleta utajiri.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki