-
Afrika Kusini2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Toleo la kwanza la Mnara wa Mlinzi katika Kizulu lilikuwa la Januari 1, 1949. Lilichapwa katika ofisi ya tawi jijini Cape Town kwa kutumia mashini ndogo ya kufanyiza nakala, inayoendeshwa kwa mkono. Gazeti hilo halikuwa na sura yenye kupendeza kama lilivyo leo, hata hivyo lilikuwa na chakula muhimu cha kiroho.
-
-
Afrika Kusini2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
[Picha katika ukurasa wa 99]
“Mnara wa Mlinzi” la kwanza katika Kizulu
-