Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matukio Muhimu ya Mwaka Uliopita
    2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Ijumaa, Julai 15, 2011, ilikuwa siku ya kukumbukwa nchini Latvia na Lithuania, na siku muhimu sana katika historia ya watu wa Mungu huko. Kupitia hotuba iliyosikilizwa katika nchi zote mbili, Stephen Lett wa Baraza Linaloongoza alitangaza kutolewa kwa Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo katika Kilithuania na Kilatvia. Hizo zikiwa lugha ya 99 na ya 100 ambazo tafsiri hiyo inapatikana.

  • Matukio Muhimu ya Mwaka Uliopita
    2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha katika ukurasa wa 24]

      Tafsiri za Kilithuania na Kilatvia

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki