Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Chunguza Uthibitisho
    Amkeni!—2011 | Novemba
    • Watafiti wanasema kwamba hiyo ndiyo kazi ya DNA “zisizohitajiwa.” Nyingi ya DNA hizo zina maagizo ya molekuli tata inayoitwa RNA (ribonucleic acid), ambayo hudhibiti ukuzi na utendaji wa chembe.c Mwanabiolojia na mwanahisabati Joshua Plotkin, anasema hivi katika gazeti Nature: “Kuwepo kwa molekuli hizo zinazodhibiti ukuzi kunaonyesha kwamba uelewaji wetu wa mambo ya msingi . . . ni mdogo sana.”

  • Chunguza Uthibitisho
    Amkeni!—2011 | Novemba
    • c Utafiti wa hivi karibuni unaonyesha kwamba RNA ndefu ambazo hazitokezi protini ni tata sana na kwamba zinahitajiwa kwa ukuzi wa kawaida. Watafiti wamegundua kwamba kasoro fulani katika RNA hizo zinahusianishwa na magonjwa mengi kama vile aina fulani za kansa, magonjwa ya ngozi, na hata ugonjwa wa Alzheimer. DNA ambazo hapo awali zilionekana kuwa “hazihitajiwi” huenda zikatumiwa katika kugundua na kutibu magonjwa mbalimbali!

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki