-
“Mtu Mwerevu Huzifikiria Njia Zake”Mnara wa Mlinzi—2005 | Julai 15
-
-
Akionyesha tofauti nyingine kati ya mtu mwenye hekima na mtu mpumbavu, mfalme wa Israeli anasema: “Mwenye hekima huogopa na kuepuka ubaya, lakini mjinga anakuwa na ghadhabu na mwenye kujitumaini.
-
-
“Mtu Mwerevu Huzifikiria Njia Zake”Mnara wa Mlinzi—2005 | Julai 15
-
-
Mtu mwenye hekima huogopa matokeo ya mwenendo usiofaa. Kwa hiyo, yeye huwa mwangalifu na huthamini shauri lolote linalomsaidia aepuke ubaya. Mpumbavu hana woga huo. Kwa kujitumaini, yeye hupuuza kwa kiburi shauri la wengine.
-