-
Cuzco—Jiji Kuu la Kale la WainkaAmkeni!—1997 | Septemba 8
-
-
Wakazi wengi wa jiji wangali wanazungumza Kiquechua. Kwa hakika, watu wapatao milioni nane katika safu ya mlima ya Andes wangali wanazungumza lugha hii ya kale. Hivi majuzi, jumuiya ya Waquechua waliwashawishi wenye mamlaka kubadili jina la Cuzco liwe Qosqo, kwa kuwa matamshi ya Qosqo yakaribiana na jina la awali katika Kiquechua.
-
-
Cuzco—Jiji Kuu la Kale la WainkaAmkeni!—1997 | Septemba 8
-
-
Kwa muda fulani sasa, Watch Tower Society imeandaa fasihi ya Biblia katika Kiquechua ili watu wenye kuzungumza Kiquechua waweze kupokea ujumbe wa Ufalme katika lugha ya asili. Kuna sehemu sita ambapo mikutano ya Kikristo inafanywa katika lugha hiyo.
-