Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kusoma kwa Usahihi
    Faidika na Elimu ya Shule ya Huduma ya Kitheokrasi
    • Vituo na alama za matamshi ni sehemu muhimu za maandishi. Vituo vinaweza kuonyesha mahali pa kutua, muda wa kutua, na labda mahali pa kubadili sauti.

  • Kusoma kwa Usahihi
    Faidika na Elimu ya Shule ya Huduma ya Kitheokrasi
    • VITUO

      Nukta (.) inaonyesha kutua kabisa.

      Mkato (,) kwa kawaida hii huonyesha kutua kifupi, kwani kuna maandishi yanayofuata.

      Nukta-mkato (;) ni kituo kifupi kuliko nukta lakini kirefu kuliko mkato.

      Nukta-pacha (:) hutanguliza orodha fulani au mnukuo; ni kutua bila kubadili sauti.

  • Kusoma kwa Usahihi
    Faidika na Elimu ya Shule ya Huduma ya Kitheokrasi
    • Alama za mnukuo (“ ” au ‘ ’) zinaweza kuonyesha kwamba maneno yaliyo ndani ya alama hizo yanapasa kusomwa baada ya kutua (kituo kifupi sana kama maneno hayo ni sehemu ya sentensi; au kituo kirefu ikiwa maneno hayo ni sentensi kamili).

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki