Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Historia ya Maumivu ya Meno
    Amkeni!—2007 | Septemba
    • Wakati huo, meno bandia yalichongwa kutoka kwa pembe za tembo na hivyo yalikuwa yakitoka kwa urahisi. Wanaume wenye kuheshimika wa Uingereza walikuwa na matatizo kama hayo ya Washington. Inasemekana kwamba walibuni ucheshi wao wa kichinichini wakiwa wamefunga mdomo ili kuepuka kucheka kwa sauti na hivyo kuonyesha meno yao bandia.

      Hadithi ya kwamba Washington alivaa meno bandia yaliyotengenezwa kwa mbao si ya kweli. Meno hayo yalikuwa ya wanadamu, pembe za tembo, risasi, lakini si mbao. Huenda madaktari wake walipata meno hayo kutoka kwa watu waliopora makaburi. Pia, wafanyabiashara wa meno wangefuata majeshi na kung’oa meno ya wanajeshi waliokufa na waliokuwa wakikaribia kufa baada ya pigano. Kwa sababu hiyo ni matajiri tu ambao wangeweza kununua meno bandia. Ni katika miaka ya 1850 baada ya kugunduliwa kwamba mchanganyiko wa mpira na salfa ungeweza kutumiwa kushikilia meno bandia, ndipo watu wa kawaida walipoweza kuyanunua.

  • Historia ya Maumivu ya Meno
    Amkeni!—2007 | Septemba
    • [Picha katika ukurasa wa 28]

      Meno bandia ya George Washington, rais wa kwanza wa Marekani, yaliyotengenezwa kwa meno ya tembo

      [Hisani]

      Courtesy of The National Museum of Dentistry, Baltimore, MD

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki