Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Urusi
    2008 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha katika ukurasa wa 121]

      Polisi walipata kijitabu hiki, “After Armageddon—God’s New World,” nyumbani kwa Nadezhda Vishnyak

  • Urusi
    2008 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Nadezhda Vishnyak anasema: “Mimi na mume wangu hatukuwa Mashahidi wa Yehova, lakini kweli ilikuwa imegusa sana mioyo yetu. Wakati mmoja, polisi walikuja kazini na kunichukua nikiwa na mavazi ya kazi. Pia walimkamata Pyotr, mume wangu, akiwa kazini. Kabla ya hilo, nyumba yetu ilipekuliwa na polisi wakapata Biblia na kijitabu After Armageddon—God’s New World. Pyotr hakufikiri wangenikamata, kwa kuwa nilikuwa nina mimba ya miezi saba.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki