Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matukio Muhimu ya Mwaka Uliopita
    2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Wenzi wa ndoa wanaruhusiwa kujiandikisha ikiwa wana umri wa kati ya miaka 25 na 50, wana afya nzuri, wameoana kwa angalau miaka miwili, wamekuwa katika utumishi wa wakati wote kwa angalau miaka miwili mfululizo, na iwapo mume ametumika akiwa mzee au mtumishi wa huduma kwa miaka miwili mfululizo.

  • Matukio Muhimu ya Mwaka Uliopita
    2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Wale wanaojaza ombi la kujiunga na shule hii wanapaswa kuwa wamekomaa kiroho na wawe na roho ya kujidhabihu.

  • Matukio Muhimu ya Mwaka Uliopita
    2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Maelezo zaidi na matakwa kwa wale ambao wangependa kujiunga na shule hiyo yatazungumziwa kwenye mikutano itakayofanywa katika makusanyiko ya wilaya.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki