Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Usitawi wa Kihistoria wa Uhuru wa Kusema
    Amkeni!—1996 | Julai 22
    • Hakimu Oliver Wendell Holmes, Jr., wa Mahakama Kuu Zaidi ya Marekani, alitaarifu itikadi yake katika uhuru wa kusema katika maamuzi kadhaa ya mahakama. Akifafanua mtihani wa usemi huru, yeye alisema: “Ikiwa kuna kanuni yoyote ya Katiba ambayo hudai sana uaminifu kuliko yoyote ile ni kanuni ya uhuru wa mawazo—si uhuru wa mawazo wa wale wanaokubaliana nasi bali uhuru kwa maoni tunayochukia.”—United States v. Schwimmer, 1928.

  • Uhuru wa Kusema Je, Unatumiwa Vibaya?
    Amkeni!—1996 | Julai 22
    • Wachache wa hao wanaodai uhuru wa kusema usiozuiwa wangekosa kukubaliana na Hakimu wa Mahakama Kuu Zaidi Oliver Wendell Holmes, Jr., ambaye nusu karne iliyopita aliandika uamuzi wa maana sana kuhusiana na uhuru wa kusema: “Uhuru wa kusema haungempa mtu haki ya kupaaza sauti kwa udanganyifu kwamba kulikuwa na moto katika jumba la maonyesho na kusababisha wasiwasi.” Matokeo ya kitendo hicho ni wazi. Basi ni kukosa kusababu vizuri kama nini, kwamba watu hawa wanaodai uhuru wa kusema usiozuiwa wasithamini adhabu itakayofuata ya uamuzi huohuo wa mahakama na kutenda kwa fujo kwa kuupinga. “Suala katika kila kisa,” akasema Holmes, “ni kama maneno yaliyotumiwa hutumiwa katika hali kama hizo na ni za asili ya kusababisha hatari ya wazi na ya kuendelea hivi kwamba maneno hayo yatatokeza maovu ambayo Bunge lina haki ya kuzuia.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki