-
Siku ya Hukumu ya Mungu—Matokeo Yayo Yenye Shangwe!Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Hata hivyo, yeye amempa Yesu Kristo wakala wa kufanya kazi ya kuhukumu: “Baba hahukumu yeyote kabisa, bali yeye ameaminisha Mwana kuhukumu kote.” (Yohana 5:22, NW) Pamoja na Yesu ni washirika wake 144,000, ambao “nguvu za kuhukumu zilipewa kwao . . . kwa miaka elfu moja.” (Ufunuo 20:4, NW) Hata hivyo, viwango vya Yehova ndivyo vinaamua kitakachompata kila mtu mmoja mmoja wakati wa Siku ya Hukumu.
-
-
Siku ya Hukumu ya Mungu—Matokeo Yayo Yenye Shangwe!Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Katika Gospeli ambayo Yohana aliandika muda mfupi baada ya Ufunuo, Yesu alisema kwa habari ya Baba yake: “Naye akampa [Yesu] amri ya kufanya hukumu kwa sababu ni Mwana wa Adamu. Msistaajabie maneno hayo; kwa maana saa yaja, ambayo watu wote waliomo makaburini wataisikia sauti yake. Nao watatoka.” (Yohana 5:27-29)
-