-
Sehemu ya 1Msikilize Mungu
-
-
Sehemu ya 1
Mungu anazungumza nasi kupitia Biblia. 2 Timotheo 3:16
Watu kila mahali wanamsikiliza Mungu. Mathayo 28:19
-
-
Sehemu ya 2Msikilize Mungu
-
-
Sehemu ya 2
Yehova aliumba kila kitu mbinguni . . . na duniani. Zaburi 83:18; Ufunuo 4:11
-
-
Sehemu ya 3Msikilize Mungu
-
-
Sehemu ya 3
Yehova aliwapa Adamu na Hawa vitu vingi vizuri. Mwanzo 1:28
Mungu aliwaambia wasile matunda ya mti mmoja. Mwanzo 2:16, 17
-
-
Sehemu ya 4Msikilize Mungu
-
-
Sehemu ya 4
Adamu na Hawa hawakumtii Mungu, basi wakafa. Mwanzo 3:6, 23
Wafu hawana uhai kama vile mavumbi yasivyo na uhai. Mwanzo 3:19
-
-
Sehemu ya 5Msikilize Mungu
-
-
Sehemu ya 5
Watu wengi katika siku za Noa walitenda mabaya. Mwanzo 6:5
Noa alimsikiliza Mungu na akajenga safina. Mwanzo 6:13, 14, 18, 19, 22
-
-
Sehemu ya 6Msikilize Mungu
-
-
Sehemu ya 6
Mungu aliwaharibu waovu lakini akamwokoa Noa na familia yake. Mwanzo 7:11, 12, 23
Mungu atawaharibu waovu tena na kuwaokoa watu wema. Mathayo 24:37-39
-
-
Sehemu ya 7Msikilize Mungu
-
-
Sehemu ya 7
Yehova alimtuma Yesu duniani. 1 Yohana 4:9
Yesu alitenda mema lakini alichukiwa. 1 Petro 2:21-24
-
-
Sehemu ya 8Msikilize Mungu
-
-
Sehemu ya 8
Yesu alikufa ili tuweze kuishi. Yohana 3:16
Mungu alimfufua Yesu na kumfanya Mfalme wa Ufalme wa Mungu. Danieli 7:13, 14
-
-
Sehemu ya 9Msikilize Mungu
-
-
Sehemu ya 9
Matatizo yaliyo duniani yanathibitisha kwamba hivi karibuni, Ufalme wa Mungu utaleta paradiso. Luka 21:10, 11; 2 Timotheo 3:1-5
Ufalme utaondoa uovu wote. 2 Petro 3:13
-
-
Sehemu ya 10Msikilize Mungu
-
-
Sehemu ya 10
Watu wengi ambao wamekufa watafufuliwa waishi duniani. Matendo 24:15
Ufalme wa Mungu utaondoa mateso yote. Ufunuo 21:3, 4
-
-
Sehemu ya 11Msikilize Mungu
-
-
Sehemu ya 11
Mungu husikiliza sala zetu. 1 Petro 3:12
Kuna mambo mengi tunayoweza kutaja katika sala. 1 Yohana 5:14
-
-
Sehemu ya 12Msikilize Mungu
-
-
Part 12
Upendo ndio siri ya furaha katika familia. Waefeso 5:33
Uwe mwenye fadhili na mwaminifu, usiwe mkatili au kukosa uaminifu. Wakolosai 3:5, 8-10
-
-
Sehemu ya 13Msikilize Mungu
-
-
Sehemu ya 13
Epuka mambo mabaya. 1 Wakorintho 6:9, 10
Tenda mema. Mathayo 7:12
-
-
Sehemu ya 14Msikilize Mungu
-
-
Sehemu ya 14
Amua kuwa upande wa Mungu. 1 Petro 5:6-9
Fanya uamuzi mzuri—msikilize Mungu. Mathayo 7:24, 25
-