Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Maeneo Walikoishi Wazee Wa Ukoo
    ‘Ona Nchi Nzuri’
    • Kufahamu baadhi ya maeneo hayo kutakusaidia kuelewa vizuri zaidi matukio fulani katika maisha ya Isaka na Yakobo. Kwa mfano, Abrahamu alipokuwa Beer-sheba, alimtuma mtumishi wake wapi amtafutie Isaka mke? Alielekea kaskazini kupitia Mesopotamia (jina linalomaanisha, “Eneo Lililo Katikati ya Mito Miwili”) hadi Padan-aramu. Kisha wazia safari yenye kuchosha aliyofunga Rebeka akitumia ngamia kwenda kukutana na Isaka huko Negebu, labda karibu na Kadeshi.—Mwa 24:10, 62-64.

  • Maeneo Walikoishi Wazee Wa Ukoo
    ‘Ona Nchi Nzuri’
    • Beer-lahai-roi

      Kadeshi

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki