-
Jinsi Ulimwengu Huu Utakavyofikia Mwisho WakeMnara wa Mlinzi—2012 | Septemba 15
-
-
15. Baada ya Har–Magedoni, itakuwaje kwa Shetani na roho wake waovu?
15 Kwanza, Shetani atashuhudia tangu mwanzo hadi mwisho tengenezo lake lote duniani likiangamizwa. Kisha, Shetani mwenyewe ataelekezewa fikira. Mtume Yohana anaripoti kinachofuata. (Soma Ufunuo 20:1-3.) Yesu Kristo, ambaye ni “malaika . . . mwenye ufunguo wa abiso,” atamshika Shetani na roho wake waovu na kuwatupa ndani ya abiso, kisha atawafungia humo kwa miaka elfu moja. (Luka 8:30, 31; 1 Yoh. 3:8) Tendo hilo ni hatua ya kwanza ya kukiponda kichwa cha yule nyoka.d—Mwa. 3:15.
-
-
Jinsi Ulimwengu Huu Utakavyofikia Mwisho WakeMnara wa Mlinzi—2012 | Septemba 15
-
-
d Kichwa cha yule nyoka kitapondwa kwa mara ya mwisho baada ya ile miaka miaka elfu moja wakati Shetani na roho wake waovu wanapotupwa ndani ya “lile ziwa la moto na kiberiti.”—Ufu. 20:7-10; Mt. 25:41.
-