Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Imani ya Wazazi Yathawabishwa
    Mnara wa Mlinzi—1997 | Mei 1
    • Yokebedi alimlea mtoto wake hadi alipoachishwa kunyonya.c Hilo lilimpa fursa nyingi zenye thamani za kumfundisha juu ya Mungu wa kweli, Yehova. Kisha Yokebedi akamrudisha mtoto kwa binti Farao, aliyemwita huyo mvulana Musa, jina linalomaanisha ‘alitolewa majini.’—Kutoka 2:10.

  • Imani ya Wazazi Yathawabishwa
    Mnara wa Mlinzi—1997 | Mei 1
    • c Nyakati za kale, watoto wengi walinyonyeshwa kwa kipindi kirefu zaidi kuliko ilivyo leo. Yamkini Samweli alikuwa angalau na umri wa miaka mitatu alipoachishwa kunyonya, na Isaka alikuwa na umri wa miaka mitano hivi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki