Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Biblia Inasema Nini Kuhusu Kutoa Mimba?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
    • Sheria ya Mungu kwa Waisraeli ilisema hivi: “Wanaume wakipambana na kumuumiza mwanamke mwenye mimba naye azae kabla ya wakati lakini kifo kisitokee, yule aliyemuumiza atalipa hasara atakayodaiwa na mume wa mwanamke huyo; naye atalipa kupitia waamuzi. Lakini kifo kikitokea, basi ni lazima mlipe uhai kwa uhai.”—Kutoka 21:22, 23.a

  • Biblia Inasema Nini Kuhusu Kutoa Mimba?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
    • a Tafsiri fulani zinajaribu kuifanya ionekane kana kwamba katika sheria hii kwa Waisraeli, jambo kuu lilikuwa kilichompata mama, si kijusi. Hata hivyo, maandishi ya Kiebrania yanarejelea kifo kwa ama mama ama mtoto.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki