-
Ugarit—Jiji la Kale Lililokuwa Kwenye Kitovu cha Ibada ya BaaliMnara wa Mlinzi—2003 | Julai 15
-
-
Inaonekana kwamba shairi moja la Ugarit linaonyesha kwamba kupika mbuzi mchanga ilikuwa sehemu ya sherehe za kawaida za uzazi katika dini ya Wakanaani. Hata hivyo, katika Sheria ya Musa, Waisraeli waliamriwa hivi: “Usimtokose mwana-mbuzi katika maziwa ya mama yake.”—Kutoka 23:19.
-
-
Ugarit—Jiji la Kale Lililokuwa Kwenye Kitovu cha Ibada ya BaaliMnara wa Mlinzi—2003 | Julai 15
-
-
[Picha katika ukurasa wa 26]
Shairi moja la Ugarit la hadithi za kuwazia huenda linahusiana na jambo linalokatazwa kwenye Kutoka 23:19
[Hisani]
Musée du Louvre, Paris
-