Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mweneo Mkubwa Ajabu wa Wema wa Mungu
    Mnara wa Mlinzi—1989 | Desemba 1
    • Ingawa hivyo, jambo lisilofurahisha ni kwamba hawakuthamini sikuzote pendeleo la kuwa waabudu wa yule Mungu mmoja wa kweli. Hatimaye, Waisraeli kwa ujumla wakawa wasio na imani, na katika 607 K.W.K., Yehova akawaruhusu wapelekwe wakawe watekwa Babuloni. Kama Mungu alivyokuwa amemwambia Musa, kwa sababu ya ule wema Wake wenyewe “kwa vyovyote yeye hatatoa mwepuko wa adhabu.”—Kutoka 34:7, NW.

  • Mweneo Mkubwa Ajabu wa Wema wa Mungu
    Mnara wa Mlinzi—1989 | Desemba 1
    • Mwisho, hatupasi kujichukulia kwamba twaweza kutumia wema wa Mungu vyovyote tutakavyo. Ni kweli kwamba Yehova husamehe watenda dhambi. Mfalme Daudi alikuwa na uhakika wa kupata jibu lenye kupendeleka aliposali hivi: “Usiyakumbuke makosa ya ujana wangu, wala maasi yangu. Unikumbuke kwa kadiri ya fadhili zako, Ee BWANA [Yehova, NW], kwa ajili ya wema wako.” (Zaburi 25:7) Je! hiyo yamaanisha kwamba twaweza kujiruhusu tutende dhambi kwa tarajio hakika la kupata msamaha wa Mungu? Sivyo kamwe. Kumbuka kwamba, wema wa Mungu wamaanisha kwamba “kwa vyovyote yeye hatatoa mwepuko wa adhabu” kwa watenda dhambi wasiotubu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki