Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Unaweza Kusimamiaje Nyumba?
    Siri ya Furaha ya Familia
    • 16, 17. (a) Ni sheria gani iliyotolewa na Yehova iliyowalinda Waisraeli dhidi ya magonjwa fulani? (b) Kanuni iliyo msingi wa Kumbukumbu la Torati 23:12, 13 inaweza kutumiwaje katika nyumba zote?

      16 Fikiria kielelezo kingine. Karibu miaka 3,500 iliyopita, Mungu alipatia taifa la Israeli Sheria yake ili kuipanga vizuri ibada yao na, kwa kadiri fulani, maisha yao ya kila siku. Sheria hiyo ilisaidia kulinda taifa hilo dhidi ya maradhi kwa kuweka amri fulani za msingi za usafi wa kiafya. Sheria moja ya jinsi hiyo ilihusiana na kuondolea mbali kwa kinyesi cha kibinadamu, kilichopasa kuzikwa mbali na kambi ili eneo ambalo watu waliishi lisingechafuliwa. (Kumbukumbu la Torati 23:12, 13) Sheria hiyo ya kale ingali ni shauri zuri. Hata leo watu hupata ugonjwa na kufa kwa sababu hawaifuati.a

  • Unaweza Kusimamiaje Nyumba?
    Siri ya Furaha ya Familia
    • a Katika kijitabu chenye kushauri jinsi ya kuepuka ugonjwa wa kuhara—ambao ni maradhi ya kawaida yanayoongoza kwenye vifo vingi vya vitoto vichanga — Shirika la Afya Ulimwenguni hutaarifu hivi: “Ikiwa hakuna msala: enda choo mbali na nyumba, na mbali na maeneo ambako watoto huchezea, na angalau meta 10 mbali na kituo cha maji; funika kinyesi kwa udongo.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki