Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Roho Yako ya Kujitolea na Imletee Yehova Sifa!
    Mnara wa Mlinzi (Funzo)—2017 | Aprili
    • 6. Kulikuwa na tofauti gani kati ya Waisraeli na jeshi la Yabini?

      6 Waisraeli walikuwa ‘wamekandamizwa kwa ukali’ na Mfalme Yabini wa Kanaani kwa miaka 20. Hata waliogopa kuonekana hadharani. Kwa kufikiria mambo kwa njia ya kijeshi, hawakuwa na zana za kivita, wala silaha za kupigana au kujilinda ilhali maadui zao walikuwa na magari 900 ya vita yaliyokuwa na miundu ya chuma.​—Amu. 4:1-3, 13; 5:6-8.a

  • Roho Yako ya Kujitolea na Imletee Yehova Sifa!
    Mnara wa Mlinzi (Funzo)—2017 | Aprili
    • a Mundu ni upanga wenye ncha kali, mrefu, na nyakati nyingine huwa umejipinda. Miundu ingechomoza kutoka kwenye magari ya vita, huenda kwenye ekseli. Ni nani angethubutu kukaribia gari hilo lenye kutisha la kivita linalosonga?

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki