Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Alitenda kwa Busara
    Igeni Imani Yao
    • 14. (a) Abigaili alichukuaje hatua ya kwanza ili kurekebisha kosa la Nabali? (b) Tunaweza kujifunza nini kutokana na tofauti kati ya mtazamo wa Nabali na Abigaili? (Ona pia maelezo ya chini.)

      14 Kwa njia fulani, tayari tumemwona Abigaili akichukua hatua ili kurekebisha kosa hilo baya. Alikuwa tayari kusikiliza, tofauti na Nabali mume wake. Yule mtumishi kijana alisema hivi kumhusu Nabali: “Yeye ni mtu asiyefaa kitu sana hata mtu hawezi kusema naye.”c (1 Sam. 25:17) Inasikitisha kwamba Nabali hakutaka kusikiliza kwa sababu alijiona kuwa mtu wa maana sana. Leo, watu wengi wana kiburi kama hicho. Lakini yule kijana alijua kwamba Abigaili alikuwa tofauti, na hiyo ndiyo sababu iliyofanya amjulishe tatizo hilo.

      Tofauti na Nabali, Abigaili alikuwa tayari kusikiliza

  • Alitenda kwa Busara
    Igeni Imani Yao
    • c Kihalisi, maneno ambayo yule kijana alitumia yanamaanisha “mwana wa beliali (asiyefaa kitu).” Biblia nyingine zinapotafsiri maneno hayo zinamfafanua Nabali kuwa mtu ambaye “hakumsikiliza yeyote,” na kumalizia kwa kusema, “hakuna haja ya kuzungumza naye.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki