-
Eliya Amkweza Mungu wa KweliMnara wa Mlinzi—1998 | Januari 1
-
-
“Je! ni wewe, Ewe mtaabishaji wa Israeli?” Ahabu akauliza, alipomwona Eliya. “Si mimi niliyewataabisha Israeli,” Eliya akajibu kwa ujasiri, “bali ni wewe, na nyumba ya baba yako, kwa kuwa mmeziacha amri za BWANA; nawe umewafuata mabaali.” Ndipo Eliya akaagiza kwamba Israeli wote wakusanyike kwenye Mlima Karmeli, kutia na “wale manabii wa Baali mia nne na hamsini, na wale manabii wa Ashera mia nne.” Kisha Eliya akauhutubia umati akisema: “Mtasita-sita [“Mtachechemea,” NW] katikati ya mawazo mawili hata lini?a BWANA [“Yehova,” NW] akiwa ndiye Mungu [“wa kweli,” NW], mfuateni; bali ikiwa Baali ni Mungu [“wa kweli,” NW], haya! mfuateni yeye.”—1 Wafalme 18:17-21.
-
-
Eliya Amkweza Mungu wa KweliMnara wa Mlinzi—1998 | Januari 1
-
-
a Wasomi fulani hudokeza kwamba huenda ikawa Eliya alirejezea dansi ya waabudu wa Baali. Matumizi hayohayo ya hilo neno ‘kuchechemea’ yapatikana kwenye 1 Wafalme 18:26 kufafanua dansi ya manabii wa Baali.
-