-
Kila Mtu Ataketi Chini ya Mtini WakeMnara wa Mlinzi—2003 | Mei 15
-
-
Abigaili, mwanamke mwenye busara alimpa Daudi keki 200 za tini zilizoshinikizwa na yaelekea alifikiri kwamba zilikuwa chakula kinachowafaa watoro. (1 Samweli 25:18, 27) Tini zilizoshinikizwa zilitumiwa pia kama dawa. Tini zilizokauka ambazo zilishinikizwa na kufanywa laini zilipakwa kwenye jipu lililohatarisha maisha ya Mfalme Hezekia, ingawa baadaye Mungu hasa ndiye aliyemponya.a—2 Wafalme 20:4-7.
-
-
Kila Mtu Ataketi Chini ya Mtini WakeMnara wa Mlinzi—2003 | Mei 15
-
-
a H. B. Tristram, mtaalamu wa mimea na viumbe ambaye alizuru nchi zinazotajwa katika Biblia katikati ya karne ya 19, alisema kwamba watu wa huko bado hutumia tini zilizoshinikizwa na kufanywa laini kutibu majipu.
-