-
Taifa Laokolewa na Mungu LisiangamizweMnara wa Mlinzi—1986 | Machi 15
-
-
Sauti za shangwe zinatokea kati ya Wayahudi! Kwa kuwa wao si mawindo hoi tena, sasa wana miezi kadha ya kutengeneza utetezi wao. Mwishowe, tarehe ya 13 ya mwezi Adari (Februari-Machi) inafika. Watu kama 75,000 ‘waliowachukia’ wanauawa na Wayahudi. Ili wasije wakasahau kwamba ushindi huo uliletwa na Yehova, Mordekai anatoa amri kwamba Sikukuu ya Purimu ya kila mwaka ifanywe tarehe 14 na 15 za mwezi Adari.
-