Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Taifa Laokolewa na Mungu Lisiangamizwe
    Mnara wa Mlinzi—1986 | Machi 15
    • Sauti za shangwe zinatokea kati ya Wayahudi! Kwa kuwa wao si mawindo hoi tena, sasa wana miezi kadha ya kutengeneza utetezi wao. Mwishowe, tarehe ya 13 ya mwezi Adari (Februari-Machi) inafika. Watu kama 75,000 ‘waliowachukia’ wanauawa na Wayahudi. Ili wasije wakasahau kwamba ushindi huo uliletwa na Yehova, Mordekai anatoa amri kwamba Sikukuu ya Purimu ya kila mwaka ifanywe tarehe 14 na 15 za mwezi Adari.

  • Taifa Laokolewa na Mungu Lisiangamizwe
    Mnara wa Mlinzi—1986 | Machi 15
    • ◆ 8:17 (NW)—Watu ‘walijitangazaje kuwa Wayahudi’?

      Biblia ya Septuagint inasema kwamba Waajemi hao “walikuwa wakitahiriwa na kugeuka wafuate Uyahudi.” Kwa wazi Waajemi wengi waliliona tendo la kuandikwa kwa amri ya kupinga ile ya kwanza kuwa ishara ya kwamba Mungu alikuwa akiwaunga mkono Wayahudi, na hivyo wao wakawa waongofu wa Kiyahudi. Vivyo hivyo leo, “mkutano mkubwa” wa “kondoo wengine” wamechukua msimamo wao kando ya mabaki wapakwa mafuta.​—Ufunuo 7:9; Yohana 10:16; Zekaria 8:23.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki