Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kufanya Vitu Vyote Kuwa Vipya—Kama Ilivyotabiriwa
    Mnara wa Mlinzi—2000 | Aprili 15
    • 10. Tueleweje “dunia” mpya ambayo Isaya alitabiri?

      10 Katika Biblia, nyakati nyingine neno “dunia” halimaanishi sayari yetu. Kwa mfano, Zaburi 96:1 husema hivi: “Mwimbieni BWANA, nchi [“dunia,”NW] yote.” Twajua kwamba dunia yetu—nchi kavu na zile bahari kubwa—haiwezi kuimba. Watu huimba. Naam, Zaburi 96:1 linarejezea watu wa dunia.a Lakini Isaya 65:17 pia hutaja “mbingu mpya.” Ikiwa “dunia” yawakilisha jamii mpya ya watu katika nchi ya Wayahudi, basi “mbingu mpya” ni nini?

  • Kufanya Vitu Vyote Kuwa Vipya—Kama Ilivyotabiriwa
    Mnara wa Mlinzi—2000 | Aprili 15
    • a Biblia ya The New English Bible hutafsiri Zaburi 96:1 hivi: “Mwimbieni BWANA, enyi watu wote mlio duniani.” Biblia ya The Contemporary English Version husema hivi: “Kila mtu aliye duniani, amwimbie BWANA sifa.” Hilo lapatana na ule uelewevu wa kwamba Isaya alipotaja “dunia mpya,” alikuwa akirejezea watu wa Mungu wakiwa katika nchi yao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki