Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je! Kweli Kuna Mahali Penye Moto wa Mateso?
    Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani
    • 6 Ndiyo, watu wazuri wanakwenda Sheoli. Kwa mfano, mfikirie Ayubu anayejulikana kuwa mwaminifu na mwenye ukamilifu kwa Mungu. Alipokuwa akiteswa sana, alimwomba Mungu amsaidie. Sala yake imeandikwa katika Ayubu 14:13, NW: “0 afadhali ungenificha katika Sheoli, . . . afadhali ungeniwekea ukomo wa wakati na kunikumbuka mimi!” Sasa fikiri: Ikiwa Sheoli ni mahali pa moto na mateso, je! Ayubu angetaka kwenda kukaa huko mpaka Mungu amkumbuke? Kwa wazi, Ayubu alitaka kufa aende kwenye kaburi ili mateso yake yamalizike.

  • Je! Kweli Kuna Mahali Penye Moto wa Mateso?
    Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani
    • 31 he foreseeing this spake of the resurrection of the Christ, that neither was he left unto Hāʹdēs, nor did his flesh see corruption.

      [Picha katika ukurasa wa 84, 85]

      Baada ya kumezwa na samaki, sababu gani Yona alisema: ‘Katika tumbo is Sheoli nikalia’?

      [Picha katika ukurasa wa 86]

      Gehena ilikuwa bonde la nje ya Yerusalemu. Ilitumiwa kuwa mfano wa kifo cha milele

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki