Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Unawajali Wazazi Wasio na Wenzi wa Ndoa?
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Desemba 1
    • Kuwajali kunachangia furaha yako. Je, umewahi kumsaidia mtu kubeba mzigo ambao ulikuwa mzito kwa mtu mmoja kuubeba peke yake? Ikiwa ndivyo, huenda ulihisi umeridhika kwa kujua kwamba umemsaidia mtu huyo. Vivyo hivyo, wazazi wasio na wenzi wa ndoa wanabeba mzigo ambao nyakati nyingine unaweza kuwa mzito mno kwa mtu kuubeba peke yake. Ikiwa utawasaidia kuubeba mzigo huo, basi utatambua ukweli wa maneno haya ya Zaburi 41:1: “Heri mtu anayewajali maskini.”—Biblia Habari Njema.

  • Je, Unawajali Wazazi Wasio na Wenzi wa Ndoa?
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Desemba 1
    • Huenda ikaonekana kuwa unalohitaji kufanya ni kumuuliza hivi mzazi asiye na mwenzi wa ndoa: “Ninaweza kukusaidia jinsi gani?” Hata hivyo, mara nyingi swali kama hilo halimsukumi mtu akueleze mahitaji yake. Kama tulivyoona, andiko la Zaburi 41:1 linatuhimiza ‘tuwajali maskini.’ Kitabu kimoja cha marejeo kinaeleza kuwa neno la Kiebrania lilinalotumika hapa linaweza kumaanisha “hatua ya kuchanganua mawazo tata na hivyo kutenda kwa hekima.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki