Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Unaweza Kudumisha Usafi wa Kiadili Katika Ulimwengu Usio na Maadili
    Mnara wa Mlinzi—2000 | Julai 15
    • Linalofanya uwezo wa kufikiri uwe wa maana katika kudumisha usafi wa kiadili katika ulimwengu mchafu ni kwa sababu njia za mtu asiye mwadilifu huvutia. Solomoni aonya hivi: “Maana midomo ya malaya [“mwanamke mgeni,” “NW”] hudondoza asali, na kinywa chake ni laini kuliko mafuta; lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga; ni mkali kama upanga wa makali kuwili.”—Mithali 5:3, 4.

  • Unaweza Kudumisha Usafi wa Kiadili Katika Ulimwengu Usio na Maadili
    Mnara wa Mlinzi—2000 | Julai 15
    • Matokeo ya ukosefu wa adili kingono ni machungu kama pakanga na makali kama upanga wenye makali kuwili, yaani ni machungu na huleta kifo. Dhamiri mbaya, mimba haramu, au maradhi yenye kuambukizwa kingono kwa kawaida ndiyo matokeo machungu ya mwenendo wa aina hiyo. Na ebu fikiria maumivu makali ya kihisia-moyo yanayompata mwenzi wa ndoa wa mtu asiye mwaminifu. Tendo moja la uzinzi laweza kuleta maumivu yenye kudumu maishani. Naam, ukosefu wa adili huumiza.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki